Advertisement
LYRICS

Diamond Platnumz – Baba Lao (Lyrics)


Diamond Platnumz – Baba Lao (Lyrics)
Diamond Platnumz – Baba Lao (Lyrics)
Advertisement

enjoy and sing along to the lyrics of Baba Lao by Diamond Platnumz.

Chu

Dangote baba lao (baba lao)

Simba baba lao (baba lao)

Chibu baba lao (baba lao)

Mondi baba lao (baba lao)

Eeeh, Zogi baba lao (baba lao)

Magufuli baba lao (baba lao)

Makonda baba lao (baba lao)

wasafi chama lao

 

Koma koko ma ni kopo koko

Leo ndani twakesha popo

Watasambazia moko moko

Moja baridi moja moto

 

Mmechoka eti (aaahh wapi)

Mnataka lala (aahhh wapi)

Tungi limezidi (aahh wapi)

Tuzime muziki (aaahh wapi)

 

Twende ki sambugile sambamba

Apo vipi inabamba

Ino gire inatamba

Basi chanika musamba eeehh,

Wataweza kweli (ahh wapi)

Kushindana nasi (ahhh wapi)

Ata wakiungana (ahh wapi)

Matusi kututukana (aaah wapi)

Advertisement

Leave a Comment

Share On:

Related Posts
 

No Responses Yet

Leave a Reply